RunShule Ni Wezi wa Mfumo wa ShuleSoft, Mahakama Imethibitisha

Taarifa kwa Shule Zote na wadau wote wanaounga mkono ubunifu wa program ya ShuleSoft. Tunapenda kuleta kwa kifupi taarifa kuhusiana na Mfumo wa ShuleSoft na kutoa ufafanuzi kwa mambo mengi ambayo tuliamua kukaa kimya kwa muda kupisha mahakama ifanye kazi yake. Nini Kilitokea? Eng. Ephraim Swilla, ni mbunifu wa program mbalimbali katika hii nchi, alianza […]

8 mins read