Uzinduzi wa Mfumo mpya wa ShuleSoft na Onyo Kwa matapeli

Taasisi ya ShuleSoft imezindua Mfumo mpya wa ShuleSoft unaojihusisha na usimamizi wa shule, ambapo imelenga kusaidia masuala ya utawala, taaluma, mambo ya kifedha, mawasiliano na kurahisisha ujifunzaji kwa mfumo wa kidigitali wa ShuleSoft. Akizungumza na waandishi wa habari, Aprili 9, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mfumo huo, Mkurugenzi […]

4 mins read

Zifahamu Hizi Hatari 5 Zinazotishia Mahusiano Yako na ShuleSoft: Kivipi Unaweza Kuzishinda?

Kama mmiliki wa shule, unaweza kujikuta katika mazingira ambayo yanahusisha hatari kadhaa zinazohusiana na matumizi ya mfumo wa ShuleSoft. Hapa chini, tutaangalia baadhi ya hatari hizi na jinsi zinavyoweza kuchangia wewe kushindwa kufanya maamuzi ya kutumia na namna unavyoweza kuzikabili: Kwa kushirikiana na wafanyakazi, wazazi, na wanafunzi, unaweza kuchukua hatua za kuzuia na kushughulikia hatari […]

3 mins read