Uzinduzi wa Mfumo mpya wa ShuleSoft na Onyo Kwa matapeli

Taasisi ya ShuleSoft imezindua Mfumo mpya wa ShuleSoft unaojihusisha na usimamizi wa shule, ambapo imelenga kusaidia masuala ya utawala, taaluma, mambo ya kifedha, mawasiliano na kurahisisha ujifunzaji kwa mfumo wa kidigitali wa ShuleSoft. Akizungumza na waandishi wa habari, Aprili 9, 2024 jijini Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa toleo jipya la mfumo huo, Mkurugenzi […]

4 mins read

How Shulesoft’s Digital Learning Module is Transforming Schools and Empowering Students

In today’s fast-paced world, education is constantly evolving to meet the ever-changing needs of students and schools. Shulesoft’s digital learning module is at the forefront of this revolution, providing a comprehensive and innovative solution that empowers students to achieve their academic goals while streamlining administrative tasks for schools. Features That Elevate Learning Shulesoft’s digital learning […]

3 mins read

IJUE ZAIDI SHULESOFT

Shulesoft ni nini? Shulesoft ni mfumo uliotengezwa kwa ajili ya kurahisisha uendeshaji wa shule na kuleta matokeo chanya kwenye shule yako kitaaluma, kukuza mapato na kuboresha mawasiliano kati ya shule na wazazi. Shulesoft ni rahisi kutumia na inatunza taarifa za shule unazoziweka kwenye mfumo bila kupotea.  Faida za kutumia Shulesoft Kuongeza makusanyo ya mapato Hii […]

6 mins read