YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA ELIMU NA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI

Katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, ulioongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, akiwa na TAMISEMI. Mkutano huu ulikua wenye lengo la kupanga mikakati, kutoa changamoto na kuboresha shule binafsi. Yafuatayo ni machache ya yaliyoongelewa; Wamiliki wa shule zisizo za serikali wamepata kujua umuhimu wa kutumia mfumo wa tehama […]

3 mins read

Mambo 7 yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa TAMONGSCO -August, 2023

1. Ujumbe na mwongozo kutoka kwa REO REO,Bw. Abdul Mnonya alifungua mkutano na kutambulisha meza kuu ya walioalikwa kwenye mkutano huo uliofanyika Oysterbay katika ukumbi wa kanisa la St. Peters.  Pia alitoa mwongozo mzima wa jinsi kikao kitakavyoendeshwa na ratiba nzima ya mkutano. 2. Maelezo ya Msingi Kuhusu Service Levy na Zimamoto 3. Umuhimu wa […]

4 mins read