Parent
Mambo 7 yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa TAMONGSCO -August, 2023
1. Ujumbe na mwongozo kutoka kwa REO REO,Bw. Abdul Mnonya alifungua mkutano na kutambulisha meza kuu ya walioalikwa kwenye mkutano huo uliofanyika Oysterbay katika ukumbi wa kanisa la St. Peters. Pia alitoa mwongozo mzima wa jinsi kikao kitakavyoendeshwa na ratiba nzima ya mkutano. 2. Maelezo ya Msingi Kuhusu Service Levy na Zimamoto 3. Umuhimu wa […]
4 mins read