Dodoma
YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA ELIMU NA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI
Katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, ulioongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, akiwa na TAMISEMI. Mkutano huu ulikua wenye lengo la kupanga mikakati, kutoa changamoto na kuboresha shule binafsi. Yafuatayo ni machache ya yaliyoongelewa; Wamiliki wa shule zisizo za serikali wamepata kujua umuhimu wa kutumia mfumo wa tehama […]
3 mins read