wamiliki wa mashule
Lini ni muda sahihi wa kujiunga Shulesoft?
Naam, karibu sana. Ni wazi umekua ukijiuliza na kuwaza kwamba ni wakati gani kwako ni sahihi kujiunga na mfumo wa ShuleSoft. Hadi kufika katika kurasa hii basi ni wazi umekua ukihangaika kutafuta namna nzuri ya kuiendesha shule yako uweze kuvuna mapato mengi zaidi, labda unachangamoto katika upande wa: Katika makala hii, tumekuandalia mchanganuo mfupi wa […]
YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA ELIMU NA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI
Katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, ulioongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, akiwa na TAMISEMI. Mkutano huu ulikua wenye lengo la kupanga mikakati, kutoa changamoto na kuboresha shule binafsi. Yafuatayo ni machache ya yaliyoongelewa; Wamiliki wa shule zisizo za serikali wamepata kujua umuhimu wa kutumia mfumo wa tehama […]