1 min read
Lini ni muda sahihi wa kujiunga Shulesoft?
Naam, karibu sana. Ni wazi umekua ukijiuliza na kuwaza kwamba ni wakati gani kwako ni sahihi kujiunga na mfumo wa ShuleSoft.
Hadi kufika katika kurasa hii basi ni wazi umekua ukihangaika kutafuta namna nzuri ya kuiendesha shule yako uweze kuvuna mapato mengi zaidi, labda unachangamoto katika upande wa:
- Usimamizi wa mapato yako (Accounting)
- Usimamizi wa taaluma shuleni
- Njia sahihi ya mawasiliano
Katika makala hii, tumekuandalia mchanganuo mfupi wa wewe kuweza kuutumia kukusaidia kulijibu swali lako lililokuwa likikuumiza kichwa tangu mwaka huu uanze.
Jaza taarifa zako hapa chini kuweza kupakua mhutasari huu.