School owner
Universal Control Number: njia mpya ya kupokea ada kutoka benki zote na mitandao yote ya simu
Je, umechoka na changamoto za kukusanya ada za shule? ShuleSoft inakupa suluhisho la ubunifu zaidi! Tuna furaha kutangaza huduma yetu mpya ya Universal Control Number ambayo inarahisisha mchakato wa malipo kwa wazazi na kuongeza mapato ya shule yako Ni Nini Universal Control Number? Universal Control Number ni namba ya kipekee inayotengenezwa na mfumo wa ShuleSoft […]
The Basics of ShuleSoft Control Number
What is Control Number? Control number or the Enquiry Control Number (ECN) is the unique number against which the credit reports of any person in the database are saved. What is ShuleSoft Control Number? Is a unique reference number assigned to each invoice or payment processed through ShuleSoft’s Accounting Module. This allows for easy tracking and […]
Beyond Fee Collection: Unveiling the Full Potential of ShuleSoft’s Accounting Module
Streamlining school fee collection is just the beginning. ShuleSoft’s Accounting Module transcends mere convenience, offering a comprehensive financial management solution that empowers schools and simplifies their operations. Going Beyond Fee Collection Let’s delve deeper into the wealth of benefits this module unlocks: Benefits for Everyone Investing in Efficiency ShuleSoft’s Accounting Module is more than an upgrade—it’s […]
Zifahamu Hizi Hatari 5 Zinazotishia Mahusiano Yako na ShuleSoft: Kivipi Unaweza Kuzishinda?
Kama mmiliki wa shule, unaweza kujikuta katika mazingira ambayo yanahusisha hatari kadhaa zinazohusiana na matumizi ya mfumo wa ShuleSoft. Hapa chini, tutaangalia baadhi ya hatari hizi na jinsi zinavyoweza kuchangia wewe kushindwa kufanya maamuzi ya kutumia na namna unavyoweza kuzikabili: Kwa kushirikiana na wafanyakazi, wazazi, na wanafunzi, unaweza kuchukua hatua za kuzuia na kushughulikia hatari […]
Lini ni muda sahihi wa kujiunga Shulesoft?
Naam, karibu sana. Ni wazi umekua ukijiuliza na kuwaza kwamba ni wakati gani kwako ni sahihi kujiunga na mfumo wa ShuleSoft. Hadi kufika katika kurasa hii basi ni wazi umekua ukihangaika kutafuta namna nzuri ya kuiendesha shule yako uweze kuvuna mapato mengi zaidi, labda unachangamoto katika upande wa: Katika makala hii, tumekuandalia mchanganuo mfupi wa […]
YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA ELIMU NA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI
Katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, ulioongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, akiwa na TAMISEMI. Mkutano huu ulikua wenye lengo la kupanga mikakati, kutoa changamoto na kuboresha shule binafsi. Yafuatayo ni machache ya yaliyoongelewa; Wamiliki wa shule zisizo za serikali wamepata kujua umuhimu wa kutumia mfumo wa tehama […]