Taasisi ya ShuleSoft imezindua Mfumo mpya wa ShuleSoft unaojihusisha na usimamizi wa shule, ambapo imelenga kusaidia masuala ya utawala, taaluma, mambo ya kifedha, mawasiliano na kurahisisha ujifunzaji kwa mfumo wa…
Kama mmiliki wa shule, unaweza kujikuta katika mazingira ambayo yanahusisha hatari kadhaa zinazohusiana na matumizi ya mfumo wa ShuleSoft. Hapa chini, tutaangalia baadhi ya hatari hizi na jinsi zinavyoweza kuchangia…
A school budget is an essential tool that helps schools plan and allocate their financial resources effectively and efficiently. Any employee—especially managers and directors—should understand budgeting and how it can…
Budget control refers to the process of managing, monitoring, and adjusting a school’s budget and cash flow to ensure that the business remains on track to meet its financial goals…
Taarifa kwa Shule Zote na wadau wote wanaounga mkono ubunifu wa program ya ShuleSoft. Tunapenda kuleta kwa kifupi taarifa kuhusiana na Mfumo wa ShuleSoft na kutoa ufafanuzi kwa mambo mengi…

How Shulesoft’s Digital Learning Module is Transforming Schools and Empowering Students

In today’s fast-paced world, education is constantly evolving to meet the ever-changing needs of students and schools. Shulesoft’s digital learning module is at the forefront of this revolution, providing a comprehensive and innovative solution that empowers students to achieve their academic goals while streamlining administrative tasks for schools. Features That Elevate Learning Shulesoft’s digital learning […]

3 mins read

3 Tips on Choosing a School Management System

When it comes to selecting a school management system, there is a lot to consider.  These are just a few of the many concerns that arise when thinking for a new system. Having served over 400 schools in Tanzania, we understand that this can be a stressful and exhausting process. This is why we’ve created a buyer’s […]

4 mins read

YALIYOJIRI KATIKA MKUTANO WA WAZIRI WA ELIMU NA WAZIRI WA ELIMU NA WAMILIKI WA SHULE ZISIZO ZA SERIKALI

Katika mkutano uliofanyika kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete, ulioongozwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda, akiwa na TAMISEMI. Mkutano huu ulikua wenye lengo la kupanga mikakati, kutoa changamoto na kuboresha shule binafsi. Yafuatayo ni machache ya yaliyoongelewa; Wamiliki wa shule zisizo za serikali wamepata kujua umuhimu wa kutumia mfumo wa tehama […]

3 mins read

IJUE ZAIDI SHULESOFT

Shulesoft ni nini? Shulesoft ni mfumo uliotengezwa kwa ajili ya kurahisisha uendeshaji wa shule na kuleta matokeo chanya kwenye shule yako kitaaluma, kukuza mapato na kuboresha mawasiliano kati ya shule na wazazi. Shulesoft ni rahisi kutumia na inatunza taarifa za shule unazoziweka kwenye mfumo bila kupotea.  Faida za kutumia Shulesoft Kuongeza makusanyo ya mapato Hii […]

6 mins read

Mambo 7 yaliyojadiliwa kwenye mkutano wa TAMONGSCO -August, 2023

1. Ujumbe na mwongozo kutoka kwa REO REO,Bw. Abdul Mnonya alifungua mkutano na kutambulisha meza kuu ya walioalikwa kwenye mkutano huo uliofanyika Oysterbay katika ukumbi wa kanisa la St. Peters.  Pia alitoa mwongozo mzima wa jinsi kikao kitakavyoendeshwa na ratiba nzima ya mkutano. 2. Maelezo ya Msingi Kuhusu Service Levy na Zimamoto 3. Umuhimu wa […]

4 mins read

How to use your android phone as an internet modem

In this latest era, the use of internet is one of the basic needs to almost all growing organizations. We use internet mostly in our mobile phones to access social networks like Facebook, Instagram and Whatsapp and most importantly, business people now use internet in effectively managing their businesses, reading and accessing reports and even […]

3 mins read